Home » » KUMBUKUMBU YA MUASISI WA ZANZIBAR HAYATI SHEIKH ABEDI AMANI KARUME 07/04

KUMBUKUMBU YA MUASISI WA ZANZIBAR HAYATI SHEIKH ABEDI AMANI KARUME 07/04

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Wakati kila ifikapo  7 Aprili kila mwaka tangu mwaka 1972 watanzania kwa ujumla huwa tunamkumbuka mpendwa muasisi wa zanzibar ndugu Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alikuwa rais wa kwanza wa zanzibar ambaye alizaliwa  mnamo mwaka 1905 
Karume aliongoza mapinduzi yaliyomwangusha Sultani aliyekuwa akitawala Zanzibar na baada ya hapo Zanzibar iliungana na Tanganyika muungano wa nchi hizi mbili uliozaa jina la Tanzania, Karume alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
TUTAKUKUMBUKA DAIMA

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa