Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Ofisi ya MKuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika mwendelezo wa ziara zake katika
Mkoa huo na kuanzia Wilaya ya Kati Unguja,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia pichani ) alipokuwa akitoa maelekezo baada ya kupokea
Taarifa za Utekelezaji Serikali ya Mkoa wa Kusini Unguja na Chama cha
Mapinduzi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu katika ziara zake ndfani
ya Mkoa huo,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali waliojumuika katika ziara ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
Pichani) wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Nd,Idrissa
Kitwana Mustafa alipokuwa akitoa taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa kwa
niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla hiyo ilifanyika leo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Mkuu
wa Wilaya ya Kusini Unguja Nd,Idrissa Kitwana Mustafa alipokuwa akitoa
taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja,wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo Pichani) iliyoanza leo katika
Wilaya ya Kati Unguja hafla hiyo ilifanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea taarifa
ya Utekelezaji ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali alipofanya ziara
ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi katika Wilaya ya Kati
Unguja,hafla ilifanyika leo Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini
Tunguu ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake ndani ya Mkoa huo,[Picha na
Ikulu.] 15/08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia pichani ) alipokuwa akitoa maelekezo baada ya kupokea Taarifa za
Utekelezaji Serikali ya Mkoa wa Kusini Unguja na Chama cha Mapinduzi
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu katika ziara zake ndani ya Mkoa
huo,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka Mtoto Samira Suleiman Ali
pamoja na kukaribishwa katika Mkoa wa Kusini alipoanza ziara ya
kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi katika Wilaya ya Kati
Unguja,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini
Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017
0 comments:
Post a Comment