Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika
Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.( Picha na
Ikulu).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipofika kutembelea Shamba la Mikarafuu na kuendelea na zoezi la
uchumaji wa Karafuu katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake
chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika
Wilaya hiyo leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akimsalimia Mtoto Samira Mussa miezi Miwili
aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa Miaka Kumi na tano wanaoishi
katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini
Pemba,aliwasalimia baada ya kutembelea Shamba la Mikarafuu leo,akiwa
katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika
Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la
CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali
mbali ya Maendeleo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua Tawi la CCM
Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali
ya Maendeleo,(kushoto) Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake CCM Mhe.
Suleiman Sarakhani Said.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikagua Tawi la CCM
Tibirinzi leo baada ya kulifungua akiwa katika mwendelezo wa ziara yake
katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua
Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi).
Baadhi
ya Wanachma wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na
Wanachama hao Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua rasmi akiwa
katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa
Kusini Pemba kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
0 comments:
Post a Comment