Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, cha Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja.
Wakurugenzi
wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya
kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja.
Waziri
wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Abeid Karume
(katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha
siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
wengine ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM Nd,Salum Maulid Salum(kulia) na Naibu
wa Wizara hiyo Mhe.Mohamed Ahmed Salum
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar Bi.Riziki Jecha Salim (kulia)
alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Idara yake wakati wa kikao cha siku
moja Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi
cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM,pia Kaimu Katibu Mkuu wa
Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (wa pili kulia) alipokuwa
akichangia wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi
cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, cha Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia),akiwepo
na Waziri Balozi Ali Abeid Karume na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum
(kushoto).(Picha na Ikulu).
0 comments:
Post a Comment