RAIS
wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake
Profesa Benno Ndulu, alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga rasmin kwa
kumaliza muda wake wa Kazi BOT, hafla hiyo imefanyika leo IkuluZanzibar
8-1-2018
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda
wake Profesa Benno Ndulu, wakitoka katika ukumbi baada ya mazungumzo yao
alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
BOT
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT)
anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu na maofisa wa BOT aliofuatana
nao .
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment