Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar`
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora
Haroun Ali Suleiman wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Afisa
uendeshaji Timu ya Afya Halmashauri Wilaya ya Kati Salma Bakari Mohammed
wakati akitembelea kituo cha Afya baada ya kukifungua Ukongoroni Wilaya
ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Naibu
katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum akitoa maelezo kuhusiana
na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua baadhi ya
changamoto zilizopo baada ya kufunguliwa kituo hicho Ukongoroni Wilaya
ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Hassan Khatib Hassan akizungumza machache kuhusiana
na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua baadhi ya
changamoto zilizopo katika Mkoa huo katika ufunguzi wa Kituo cha Afya
cha Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni
Rasmi katika ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Ukongoroni Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora
Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kituo kipya cha Afya
Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Hassan Khatib Hassan
Baadhi
ya waalikwa pamoja na wananchi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kituo
cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment