RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na
Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54
ya Mapinduzi ya Zanzibar
BAADHI
ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana
kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika viwanja vya Vikosi vya KVZ
Mtoni Zanzibar
BAADHI
ya Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya
Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar
BAADHI
ya Viongozi wa Halaiki wakiwa katika viwanja vya Vikosi SMZ wakishiriki
katika hafla ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
BAADHI
ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54
ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha
mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
WAZIRI
wa Nchi na Afisi ya Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Issa Haji Gavu akitowa neno la shukrani wakatika kumalizika kwa
Hafla ya Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzinar kwa
ajili yao kilichofanyika katika Kambi ya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na
Viongozi wengine wa Serikali wakiitikia dua baada ya kumalizika hafla ya
chakula cha mchana kilichofanyika katika Viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakizungumza
baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha mchana a Vijana hao,
katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika
picha ya pamoja na Vijana walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi
ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika
picha ya pamoja na Vijana walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi
ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya
kumalizika hafla hiyo ya kachula maalum kilichoandaliwa kwa ajali yao
katika Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya
kumaliza hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana
hao katika Viwanja vya KVZ Mtoni
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu wa Halaiki Zanzibar Ali Mohammed Bakari,
alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha KVZ Mtoni kuhudhuria hafla
hiyo.
VIJANA
wa Bendi ya Chipukizi wakitoa burudani wakati wahafla ya chakula cha
mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana na Wanafunzi walioshiriki
katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar
BAADHI
ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54
ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha
mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment